Fanya Kazi na Mbunifu-Mkuu
Kutoka kwa Kitendawili kwenda kwenye Mfumo wa Faida.
1. 25 Keys Mastery: Advanced Version
Hili ni toleo la ndani zaidi la Funguo 25. Linajumuisha video za mafunzo, templeti za kodi, na siri za ndani za jinsi ya kutumia kila ufunguo kuzalisha faida.
$19
2. The Prime-System Setup (Done-For-You)
Nitakujengea website kamili kama hii, nitaunganisha mfumo wa Tracking, na kukuandalia vyanzo vyako 8 vya traffic.
$149
3. Strategy Consultation
Mazungumzo ya moja kwa moja kwa ajili ya kupanga mkakati wa biashara yako, kuongeza ROI, na kuondoa vikwazo vinavyokukwamisha.
$47 / hr